Kipindi Mnyama akigawa dozi Shamba la Bibi.. Yanga waendelea kugeuzwa Punching Bag.

Kipindi Mnyama akigawa dozi Shamba la Bibi.. Yanga waendelea kugeuzwa Punching Bag.

Yanga hakuna timu pale.. ni mbeleko tu hua zinawasaidia kupata matokeo.
Asante refa wa gemu ya leo, kwa kuzunguka ndani ya sheria 17 za soka

Mwisho wa ligi nidpo tutafahamu, na dalili zitaanza kuonekana tarehe 1/10/2016
 
Ujue mi nawashangaa mbwembwe zote hizi fanyeni ikibaki mechi japo moja kwa ligi kuisha sasa mechi tatu na point 7 kelele je mngeshinda mechi zote 3 si tusingekunywa maji.

Hivi kwani kudroo yanga ni ajabu mbona nyie jkt ruvu waliwatoa makamasi mkapumua juu juu.

Hebu tuacheni na yanga yetu.
1473301175233.jpg
 
Ujue mi nawashangaa mbwembwe zote hizi fanyeni ikibaki mechi japo moja kwa ligi kuisha sasa mechi tatu na point 7 kelele je mngeshinda mechi zote 3 si tusingekunywa maji.

Hivi kwani kudroo yanga ni ajabu mbona nyie jkt ruvu waliwatoa makamasi mkapumua juu juu.

Hebu tuacheni na yanga yetu.View attachment 395951

Mkuu kwa hiyo unatushauri, Mnyama akishinda tuwe tunanyong'onyea?

Ajabu ni waojiita "Wazee Wa Kimataifa' kutoa suti na 'Wamchangani"!!
Sasa katika michuano ya CAF Msimu ujao si mtalitia Taifa aibu kubwa zaidi?
Eeeh Mola tuepushe na hii aibu niionayo.
 
Haya basi zidisheni juhudi mwaka kesho kutwa na nyie mshiriki hiyo michuano ya CAF ili mpate kuitoa tanzania kwenye hiyo mnayoiita aibu.

Yetu macho na masikio.
 
Haya basi zidisheni juhudi mwaka kesho kutwa na nyie mshiriki hiyo michuano ya CAF ili mpate kuitoa tanzania kwenye hiyo mnayoiita aibu.<br /><br />Yetu macho na masikio.
 
Huu mwaka wa ngapi tunashuhudia basikeli za miti na bajaji za udongo?

Mbona hamjifunzi? Omog akimaliza msimu bado yupo Simba, Tanzania itacheza World Cup ijayo!
 
Haya basi zidisheni juhudi mwaka kesho kutwa na nyie mshiriki hiyo michuano ya CAF ili mpate kuitoa tanzania kwenye hiyo mnayoiita aibu.

Yetu macho na masikio.
Bajaji ya udongo isubiri wakati wa masika upate jibu kamili. WAmetangulia kama ilivyo kawaida yao na baiskeli ya miti. Muda sio mrefu wataanza mambo yao. Badala ya viporo kuna kitu kipya watabuni mwaka huu.
 
Duuh kipofu kaona mwezi ligi yenyewe raundi ya 3,ikifika ya 20 tutamjua mwanaume
 
Mkuu unafikiri wanaishiwa sababu hao.
 
Washangiliaji wa kimataifa hata nyinyi mechi moja mmetoka sare so bado msijione ndio machampion wakati mnawazidi wakimataifa mchezo mmoja na point zenu saba.
 
Haya basi zidisheni juhudi mwaka kesho kutwa na nyie mshiriki hiyo michuano ya CAF ili mpate kuitoa tanzania kwenye hiyo mnayoiita aibu.

Yetu macho na masikio.
Hilo halina mjadala hata kidogo.. Simba msimu huu ni bingwa.. Na msimu unaofuata tunaenda "kufukia mashimo" yote mliyoyachimba .
 
Mnyama aunguruma leo Taifa, baada ya kuwapigisha kwata la kutosha 'wajeda' wa Ruvu Shooting. Leo tumetakata vya kutosha, nadhani Tanzania imeona, Dunia imeona. Simba SC imeshinda goli 2-1.
Wafungaji wa mechi ya leo ni Ajibu na 'homa ya jiji' Mavugo.

Huko Mtwara, Wazee Wa Kimataifa wameendelea kugeuzwa punching bag, baada ya kutoka suti na Ndanda.
Ikumbukwe ni hawa hawa Ndanda waligongwa 3-1 na Mnyama katika mechi ya ufunguzi wa ligi kuu Msimu huu wa 2016/2017.

Nadhani sasa mmeanza kuamini yale maneno ya kocha bora kabisa toka nchini Kameruni, kua kuna matatizo madogo madogo anayafanyia kazi, ndani ya mechi tatu au mbili.. Ole wake tutakayekutana nae baada ya hizo mechi.

Shikamoo Joseph Marius Omog.

siye wengine siku za hivi karibuni tumekuwa hatufuatilii hii ligi yetu kwa karibu kwa sababu mbalimbali, kwa hiyo hatujui exactly ni nini kinaendelea.

kwa kuanzia mkuu Sembo, embu tutoe tongotongo kidogo wenzio...msimu huu kila timu itacheza jumla ya mechi ngapi na hadi sasa kila kitu imecheza ngapi?
 
Huu mwaka wa ngapi tunashuhudia basikeli za miti na bajaji za udongo?

Mbona hamjifunzi? Omog akimaliza msimu bado yupo Simba, Tanzania itacheza World Cup ijayo!

Duuh kipofu kaona mwezi ligi yenyewe raundi ya 3,ikifika ya 20 tutamjua mwanaume
Hivi Mnyama afanye nini muamini kua sasa ni karejesha yale makali yake ya 2011/2012?
Washangiliaji wa kimataifa hata nyinyi mechi moja mmetoka sare so bado msijione ndio machampion wakati mnawazidi wakimataifa mchezo mmoja na point zenu saba.

Inakuaje unapiga hesabu kwenye hamna.. Alafu hivi viporo hua vinachacha, so kuweni makini katika kipindi hiki cha mpito.. ambapo Mnyama anarejea kusimika himaya yake ya kudumu kileleni.
 
Back
Top Bottom