Kipindi Mnyama akigawa dozi Shamba la Bibi.. Yanga waendelea kugeuzwa Punching Bag.

Hilo halina mjadala hata kidogo.. Simba msimu huu ni bingwa.. Na msimu unaofuata tunaenda "kufukia mashimo" yote mliyoyachimba .
Mmmmhhhh. Kwa mechi tatu?
 
Kumbuka wa kimataifa wanafriji so kiporo chao hakijawahi kuchacha ila subiri uone mchezo unaofuata ujue kuwa wa kimataifa huwa hawabahatishi.
 
Mh jamani ligi ya Tz mambo ndio kwanza yanaanza ni mapema mno kuropoka tunzeni akiba ya maneno time will tell.
 
Mkuu idadi ya timu zipo 16.. Na hadi ligi iishe kila timu inatakiwa kucheza mechi 30.

Kuhusu msimamo wa ligi mpaka sasa, pitia hapa [emoji116]

Kumbuka wa kimataifa wanafriji so kiporo chao hakijawahi kuchacha ila subiri uone mchezo unaofuata ujue kuwa wa kimataifa huwa hawabahatishi.
Sawa Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…