Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mmmmhhhh. Kwa mechi tatu?Hilo halina mjadala hata kidogo.. Simba msimu huu ni bingwa.. Na msimu unaofuata tunaenda "kufukia mashimo" yote mliyoyachimba .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmhhhh. Kwa mechi tatu?Hilo halina mjadala hata kidogo.. Simba msimu huu ni bingwa.. Na msimu unaofuata tunaenda "kufukia mashimo" yote mliyoyachimba .
Kumbuka wa kimataifa wanafriji so kiporo chao hakijawahi kuchacha ila subiri uone mchezo unaofuata ujue kuwa wa kimataifa huwa hawabahatishi.Hivi Mnyama afanye nini muamini kua sasa ni karejesha yale makali yake ya 2011/2012?
Inakuaje unapiga hesabu kwenye hamna.. Alafu hivi viporo hua vinachacha, so kuweni makini katika kipindi hiki cha mpito.. ambapo Mnyama anarejea kusimika himaya yake ya kudumu kileleni.
Mkuu idadi ya timu zipo 16.. Na hadi ligi iishe kila timu inatakiwa kucheza mechi 30.siye wengine siku za hivi karibuni tumekuwa hatufuatilii hii ligi yetu kwa karibu kwa sababu mbalimbali, kwa hiyo hatujui exactly ni nini kinaendelea.
kwa kuanzia mkuu Sembo, embu tutoe tongotongo kidogo wenzio...msimu huu kila timu itacheza jumla ya mechi ngapi na hadi sasa kila kitu imecheza ngapi?
asante mkuu.Mkuu idadi ya timu zipo 16.. Na hadi ligi iishe kila timu inatakiwa kucheza mechi 30.
Kuhusu msimamo wa ligi mpaka sasa, pitia hapa [emoji116]
View attachment 396074