Kipindi tunamsubiri Mbao F.C.. Hebu tuangalie kazi aliyoifanya Kichuya mpaka sasa katika VPL.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Huyu jamaa wa kuitwa Shiza Kichuya ni hatari sana.. Shughuli yake ni pevu sana pindi anapokutana na mabeki wa timu pinzani.

Nasikia mabeki wa timu pinzani wakipangiwa kazi ya kumdhibiti Kichuya .. Hua hawalali kabla ya mechi wakimuwaza jamaa.. Na kama beki akifanikiwa kumaliza dk. 90 siku ya mechi.. hua wanalala na viatu baada ya mechi.

Mpaka sasa Shiza Kichuya kafanya nini katika VPL msimu huu??!
1. Idadi ya mechi alizocheza: 9
2. Idadi ya magoli aliyofunga: 7
3. Idadi ya pasi za magoli alizotoa [assist]: 5
4. Idadi ya magoli aliyochangia katika timu: 12
5. Wastani wa magoli anayofunga katika kila mechi: 1 [ wapinzani wakizubaa anawatandika goli zaidi ya 2]

Hayo magoli 12 ya Shiza Kichuya [aliyochangia katika timu], amefunga au ametoa pasi kwa staili zote zinazofahamika dunia hii..
1. Kwa penati
2. Kwa guu la kulia
3. Kafunga Kona goli
4. Kwa guu la kushoto
5. Kafunga akiwa ndani au nje ya 18
6. Kafunga kwa kisigino n.k

Kwa takwimu hizo ... [emoji115] [emoji115]

Kichuya [goli 7] = Tambwe[goli 4] + Kaseke [goli 2] + Chirwa [goli 1]

20.10.2016... Tunaenda kutafuna kitoweo kiitwacho Mbao F.C.. Kila la heri Kichuya.. Katika kuongoza kosi la maangamizi.
Wote mnakaribishwa katika 'shughuli' hiyo.
 
Ndio nin sasa kichuya kichuya watu tunajiandaa kujipigia shetan mwekundu leo saa nne we unatuletea pumbwija hizo alaaa.
 
Hebu weka website yenu tuone kama vimewekwa,maana vilabu na vyama vya soka Tanzania Web zao HAZIKO UPDATED ???
 
Ndio nin sasa kichuya kichuya watu tunajiandaa kujipigia shetan mwekundu leo saa nne we unatuletea pumbwija hizo alaaa.
Mkuu hili ni jukwaa la michezo mbalimbali na si jukwaa la matetea wa anfield pekee.. By the way kila la heri, Mourinho ambae ni rafiki mkubwa wa Dylan Kerr.
 
Unamuongelea Kichuya huyu?
1479124511908.jpg
 
Back
Top Bottom