Kipindi unasoma ulikuwa unalipenda na kulichukia somo gani?

Kipindi unasoma ulikuwa unalipenda na kulichukia somo gani?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Habari zenu wakuu,

Naamini sisi wote humu tumepitia hatua ya kwenda shule kukuza ufahamu na maarifa yetu kwenye maisha.

Kwa upande wangu, mimi binafsi nilikuwa nalipenda somo la Hesabu, na nilikuwa silipendi somo la Kiswahili.

Vipi wewe Mkuu wangu, ulikuwa unalipenda somo gani na kulichukia somo lipi?
 
Hesabu na Physics, Hesabu ilinipenda na Physics niliipenda.
History ilikakaa kushoto, kukakiriri miaka ilikuwa hainiingii akilini.
 
Back
Top Bottom