Kipindi unasoma wewe ulikuwa namba ngapi

Kipindi unasoma wewe ulikuwa namba ngapi

daniel agrey

Member
Joined
Jul 23, 2017
Posts
96
Reaction score
345
Mimi nilikuwa no 12[emoji23][emoji23][emoji23]
8ce97f17dc03cdef95acd19066cf29ec.jpg

sent using my[emoji336]
 
11.

HASA KTK SOMO LA BIOLOGY, TOPIC REPRODUCTION, MADAM DAUD ALIKATAA KUFUNDISHA KWAAJILI YA MASWALI YANGU, TOPIC ILE ALIMUACHIA MR.MKENYA
 
11. Nilikuwa na maswaki mimi hadi wenzangu wanachukia wanasema na kichwa kizito ila sasa kwenye majawabu ndo walikuwa wananielewa vzr navyowabaka ovyo ovyo...nakula 90 hlf mtihani naficha...wanabaki kuulizana tu nani wa kwanza,mi mitihani nishachana nimetupa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji15] how

RubiiKimimi[emoji85]
kiufupi kila siku lazima niandikwe kwenye orodha ya wapiga kelele
ikitokea mwalimu kaingia halafu monitor hajaandika wapiga kelele
nitatajwa tu na sikatai
ticha akiulizia waliopiga kelele jana nitatajwa tu hata kama sikufika shule
hapo nakuwa nimekwepa adhabu ya utoro
 
Kumbe na utoro ulikua nao [emoji23]

RubiiKimimi[emoji85]
 
Back
Top Bottom