daniel agrey
Member
- Jul 23, 2017
- 96
- 345
Mimi nilikuwa no 12[emoji23][emoji23][emoji23]
sent using my[emoji336]
sent using my[emoji336]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] howhata nisipofika shule kwenye wapiga kelele nipo
kiufupi kila siku lazima niandikwe kwenye orodha ya wapiga kelele[emoji15] how
RubiiKimimi[emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umetishahata nisipofika shule kwenye wapiga kelele nipo
Kumbe na utoro ulikua nao [emoji23]kiufupi kila siku lazima niandikwe kwenye orodha ya wapiga kelele
ikitokea mwalimu kaingia halafu monitor hajaandika wapiga kelele
nitatajwa tu na sikatai
ticha akiulizia waliopiga kelele jana nitatajwa tu hata kama sikufika shule
hapo nakuwa nimekwepa adhabu ya utoro