Kipindupindu Chalipuka Jiji La Maraha,Nairobi

Za
Suala sio kuandaa wodi za wagonjwa? Suala ni nyinyi wakenya kuacha kula Mavi na kunywa Maji taka.
I think the issue in Nairobi is Clean clean water, hapo wasee wa GDP mnafeli sana..
Halafu hizo habari za Kipindupindu na njaa ni Mambo ya Ulimwengu wa Tatu, I am surprised what kind of Middle Income Kenya is, besides Tz has been a victim of Cholera years ago, Kwa sasa maji safi kwa Jiji la Dar na Miji yote tz sio changamoto tena ndio maana hizi cases zimetoweka nowdays,
You can Imagine dar consumes only 20% of the water supplied by DAWASA
Maji Safi my foot.... Ingia hapa uangalie vifo vya cholera Tanzania kila mwaka alafu ujaribu kutunga story tena...

CHOLERA IN TANZANIA
05 Sep 2018Tanzania
As of 26 August 2018, a total of 3,616 cases with 68 deaths were reported from Tanzania Mainland since the beginning of 2018. No case was reported from Zanzibar. Cholera cases in 2018 increased and nearly doubled during the period of January – August 2018 when compared to the same period in 2017.
NaTHNaC - Outbreak Updates
 
Ahaaa haa bro,
You only seems to get relief when seeing Tanzania is having the same problem you have. Bro, the problems of others had never reduce your problems, otherwise that is sentiment. Pambana na hali yako.
 
Alie anzisha hii Mada ni mtanzania, waliotoa comment za Kwanza ni watanzania, sasa nakuletea habari za Tz ndo unaanza kujua kumbe kila mtu anafaa kupambana na Hali yake... Ama kweli nyani haoni kundule
 
Tatizo la Kenya ni kila mwaka, tena Cholera hutokea katika jiji la Nairobi ambalo ndio kioo cha Kenya, ni aibu kubwa Sana acha kutafuta sababu. Jambo la kusikitisha Nairobi hukumbwa na upungufu wa maji, vijijini hali itakuaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi mlipoteza watu 600 ndani ya miaka miwili, Hilo hakijawai shuhudiwa .... Tatizo la Watz hua hawana waandishi wa habari, unakuta any sensitive news imeandikwa na kina UNICEF,WHO,..etc Yani inshort watz wenyewe hua ni kama wanafichwa
 
Hahahaha, siku hizi Huwezi ficha kitu, pamoja na serikali yenu kuficha idadi ya waliokufa kwa njaa na kuwakanata viongozi wa vijiji waliotoa hizo habari, lakini Bado ukweli umejulikana, Nairobi ndio jiji pekee hapa Africa ambalo kila mwaka lazima likumbwe na cholera, je majiji yote huwa yanaficha?, shame on you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom