MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Jifunze kingereza kwanza uwe mtu maana....acha hasiraAndika acha kujitetea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifunze kingereza kwanza uwe mtu maana....acha hasiraAndika acha kujitetea.
Huna jeuri ya kunipima maana haujui kingereza....
Sio kuongea tu, hata kuandika haujui, kingereza kinahitaji akili kubwa sio nyie wazembe wa Buza huko.Of course siwezi kuongea kiingereza cha kenya. Especially of gikuyu accent.
Kwenye kipindupindu hakuna pesa za WazunguMbona sasa kwenye hii sporadic disease (KIPINDUPINDU) hawatangazi maambuki, deaths, survivors, etc in daily basis?
Hahahah, wazee wa to be able to create a superhighway [emoji3][emoji3][emoji3]Of course siwezi kuongea kiingereza cha kenya. Especially of gikuyu accent.
Sio kuongea tu, hata kuandika haujui, kingereza kinahitaji akili kubwa sio nyie wazembe wa Buza huko.
Kama kawaida yetu. Wazawa wa kiingereza tunawainamisha chini. Sembuse wewe kibera boy. Baada ya kuishiwa hoja unakimbilia unajificha nyuma ya lugha ya malkia. Sisi hatuna ajizi, manamba kama nyie tunawapiga za uso kwa hoja bila huruma.
Utaendelea kujificha kwenye lugha ya malkia (ambayo hata huijui) sisi ni mwendo wa hoja tu.
Jibu hoja, kwa nini hali ya kipindupindu (rafiki yenu mkubwa) nchini kwenu hamtangazi? Hatujawahi sikia wamekufa, wameambukizwa, wamepona wangapi?
NB: Zingatia kwamba kenya ni ya nne (4) katika Afrika kwa kuwa na milipuko ya mara kwa mara ya kipindupindu na wagonjwa wengi.
Ngoja aje akujibu wa kizungu... hahaaaKama kawaida yetu. Wazawa wa kiingereza tunawainamisha chini. Sembuse wewe kibera boy. Baada ya kuishiwa hoja unakimbilia unajificha nyuma ya lugha ya malkia. Sisi hatuna ajizi, manamba kama nyie tunawapiga za uso kwa hoja bila huruma.
Utaendelea kujificha kwenye lugha ya malkia (ambayo hata huijui) sisi ni mwendo wa hoja tu.
Jibu hoja, kwa nini hali ya kipindupindu (rafiki yenu mkubwa) nchini kwenu hamtangazi? Hatujawahi sikia wamekufa, wameambukizwa, wamepona wangapi?
NB: Zingatia kwamba kenya ni ya nne (4) katika Afrika kwa kuwa na milipuko ya mara kwa mara ya kipindupindu na wagonjwa wengi.
Umeulizwa kwa nini hamtangazi idadi ya maambukizi ya Kipindupindu, waliokufaHaujafikia hadhi ya kujua kingereza, unajitesa bure.
Umeulizwa kwa nini hamtangazi idadi ya maambukizi ya Kipindupindu, waliokufa
Sio kuongea tu, hata kuandika haujui, kingereza kinahitaji akili kubwa sio nyie wazembe wa Buza huko.
Yaani wewe ndio Mjinga hivi?
Kuna watu hata kuwepo tu hapa JF, ni hasara sana kwa badwidth za jukwaa.
Ila kati ya Wajinga wengi wa Kikenya, sikuwahi kujua nae ni Boya kihasi hiki.
ndiyo maana mnaolewa, kila mtu anao utamaduni wakeJifunze kingereza kwanza uwe mtu maana....acha hasira