Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale Urafiki Dar nenda kiloba kimoja ni 800 shillings- Urafiki karibu na uwanja wa KinesiNaombeni msaada wandugu.
Nataka kujua kilipo kiwanda Cha kutengeneza mifuko ya plastic yaani Yale maroba kama yale wanauzia mkaa na kuhifadhia mahindi.
Natanguliza shukrani.
Dar es salaam - Temeke Mbagala industrial Area..Naombeni msaada wandugu.
Nataka kujua kilipo kiwanda Cha kutengeneza mifuko ya plastic yaani Yale maroba kama yale wanauzia mkaa na kuhifadhia mahindi.
Natanguliza shukrani.
Nauza viroba lkn vilikuwa vya gysum good oneNaombeni msaada wandugu.
Nataka kujua kilipo kiwanda Cha kutengeneza mifuko ya plastic yaani Yale maroba kama yale wanauzia mkaa na kuhifadhia mahindi.
Natanguliza shukrani.
Mbalizi sehemu gani boss,, unaweza nipa location? Au mawasiliano..Mbalizi Mbeya kipo kiwanda cha viroba nichawachina..roba zadebe 10 kuanzia roba 1000 bei ni @ 750/= ..ujazo wachini kama debe 8 na sita sijajua wanauzaje
Barabara ya UTENGULE kabla hujafika kituo kipya cha police kuna eneo linamagodaun makubwa panaitwa kwa mchina,ndio hapo hapo kilipo kiwanda cha robaMbalizi sehemu gani boss,, unaweza nipa location? Au mawasiliano..