Kipo wapi kiwanda cha kutengeneza viroba vya kuhifadhia nafaka?

MWAMUNU

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
860
Reaction score
519
Naombeni msaada wandugu.

Nataka kujua kilipo kiwanda Cha kutengeneza mifuko ya plastic yaani Yale maroba kama yale wanauzia mkaa na kuhifadhia mahindi.

Natanguliza shukrani.
 
Pale Urafiki Dar nenda kiloba kimoja ni 800 shillings- Urafiki karibu na uwanja wa Kinesi
 
Mbalizi Mbeya kipo kiwanda cha viroba nichawachina..roba zadebe 10 kuanzia roba 1000 bei ni @ 750/= ..ujazo wachini kama debe 8 na sita sijajua wanauzaje
 
Naombeni msaada wandugu.

Nataka kujua kilipo kiwanda Cha kutengeneza mifuko ya plastic yaani Yale maroba kama yale wanauzia mkaa na kuhifadhia mahindi.

Natanguliza shukrani.
Dar es salaam - Temeke Mbagala industrial Area..
(E.A polybags)
 
Hapo kwasadala wilaya ya Hai Kuna kiwanda hapo

Unaelekezwa location tofauti maana hujasema upo wapi .
 
Mlandizi kama unaenda Ruvu darajani kuna kiwanda.
Mlandizi sokoni viroba kama hivyo bei ya jumla 400/-.
Kariakoo 550/- ukimpata muuzaji mkubwa wa viroba.

Pia kuna kampuni inajitangaza Clouds Media inatengeneza vifungashio aina nyingi siyo viroba tu, namba zao ni 0712393903 Wanaitwa something like Connection ....
Hawa watakutumia mzigo popote ulipo mikoani.
 
Naombeni msaada wandugu.

Nataka kujua kilipo kiwanda Cha kutengeneza mifuko ya plastic yaani Yale maroba kama yale wanauzia mkaa na kuhifadhia mahindi.

Natanguliza shukrani.
Nauza viroba lkn vilikuwa vya gysum good one
 
Mbalizi Mbeya kipo kiwanda cha viroba nichawachina..roba zadebe 10 kuanzia roba 1000 bei ni @ 750/= ..ujazo wachini kama debe 8 na sita sijajua wanauzaje
Mbalizi sehemu gani boss,, unaweza nipa location? Au mawasiliano..
 
Barabara ya UTENGULE kabla hujafika kituo kipya cha police kuna eneo linamagodaun makubwa panaitwa kwa mchina,ndio hapo hapo kilipo kiwanda cha roba
 
Back
Top Bottom