Kiporo kipi kitamu zaidi?

Kiporo kipi kitamu zaidi?

Wali kuku[emoji215]
20191128_090853.jpeg
 
Ningeshangaa kama nisingekuta wali na kisamvu.😋

Halafu nimegundua, wanawake mnapenda sana kula😀😀
Mimi binafsi yangu napenda kula uongo dhambi nile chakula nienjooooyy hata nsipotoka out i don't care sana😉😀
 
Nimesoma maelezo yake btn lines nimegundua kaandika kutoka moyoni. Mtu anaye enjoy chakula to that extent lazima awe kibonge tu.[emoji23][emoji23]
Uko sahihi kabisaa mimi one of ma' hobby ni KULA nile chakula kizuri ndio maana napenda kupika saaana...am not fat but I've little bit fat😉😉

Karibu confessor food&BBQ..
 
Back
Top Bottom