Kiporo kipi kitamu zaidi?

Unajua unawatesa watu mtu mwingine mlo wake wa siku tu kuupata ni shida,mtu kama kiduku lilo ana siku ya tatu hajala,halafu unamuambia mambo ya viporo unadhani anakuonajet
 
Naona munaongelea vipolo vya kidigitali tu.kuna kipolo cha ugali na mboga fulani inaitwa mzubo,hii mboga ukiwa mjini utakufa hajaila labda uwe na kabibi kako kijijini ndo kakuletea na kakupikie, hii inapikiwa kwenye chungu tu ili uipata radha yake maridhawa,kiungo mojawapo cha hii mboga ni karanga iliyosagwa.Ina maandalizi malefu ili iweze kutumika ila ikiwa tayari kwa kutumika utaikuta ipo kwenye mfumo wa unga wa kijani hivi

Sasa hii kitu itumie asubui ,inakuwa nzito na ugari ulishakuwa baridi ,chukua na kikombe cha maziwa mgando ,aahhhaaa mjini huwezi kupawaza.katika mazingira hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mvuvi sana kula hususani usiku,ila kama baba mwenye nyumba Kiporo hua hakiguswi na mtu kabisaa zaidi yangu,napenda sana kiporo

Kiporo cha wali,maharage na nyama,hapo ni balaa tupu hua nalala nakiwaza kabisaa
 
[emoji12] Baba mwenye nyumba nakupenda.

Umetisha mzee baba
 
Kiporo cha
Mahindi ya kuchemsha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…