EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Unajua unawatesa watu mtu mwingine mlo wake wa siku tu kuupata ni shida,mtu kama kiduku lilo ana siku ya tatu hajala,halafu unamuambia mambo ya viporo unadhani anakuonajet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kufananisha kiporo cha wali maharage na vitu vya kijinga.
Hivi kati ya kiporo cha wali na maharage/ wali ndondo
~MC~
Mimi ni mvuvi sana kula hususani usiku,ila kama baba mwenye nyumba Kiporo hua hakiguswi na mtu kabisaa zaidi yangu,napenda sana kiporo
Kiporo cha wali,maharage na nyama,hapo ni balaa tupu hua nalala nakiwaza kabisaa
Umetisha mzee babaMimi ni mvuvi sana kula hususani usiku,ila kama baba mwenye nyumba Kiporo hua hakiguswi na mtu kabisaa zaidi yangu,napenda sana kiporo
Kiporo cha wali,maharage na nyama,hapo ni balaa tupu hua nalala nakiwaza kabisaa
Mmh hadi ndaza?View attachment 1415280Yai mchemsho ndaza na mchuzi wa Bamia hutakaa usahau! inauma mpaka kunako moyo, halafu ni tiba kwa kina dada, pia huzuia kansa ya aina zote km kansa ya maziwa!
Nipo dokta😉Ivi umepotelea wapi????...
"What is yours will always be yours no matter what "
Kiporo chaHabari ya leo wapenda kula mapocho pocho wenzangu.
Hivi kati ya kiporo cha wali na maharage/ wali ndondo na kiporo cha wali kisamvu (cha nazi au karanga) kipi kitamu?
View attachment 1412357
Yaani nimeona niulize wala viporo wenzangu kwa sababu hapa namalizia kunywa chai na kiporo cha kisamvu yaani nimekaa chini kabisaa kwa utamu nikimaliza kupost uzi huu nashushia na juice ya embe, lol.
Nitapungua mwakani jamani😆😆
Hebu nambie kiboko yako ya kiporo ni ipi mwenzetu.
~MC~