Kiporo kipi kitamu zaidi?

Alafu zamani nilipokuwa shule ya msingi, nilikuwa naweka hindi moja kwenye mfuko wa kaptula napukuchulia humohumo kisha natafuna kama karanga basi mfuko unalowa na unanukia kama perfume fulani hivi,πŸ˜€
πŸ˜‚
 
Hahaaaa uwiiii,basi kuna rafiki angu alikuaga kilaza sn akawa ananiletea mahindi aafu mi namfanyia maswali ya hesabu. Jamaa hakufauru ila saivi linahela mbaya mpaka linaweza hata kuniajiri. Maisha bana!
Alafu zamani nilipokuwa shule ya msingi, nilikuwa naweka hindi moja kwenye mfuko wa kaptula napukuchulia humohumo kisha natafuna kama karanga basi mfuko unalowa na unanukia kama perfume fulani hivi,[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala viporo utawajua tu comments zao ziko kiviporoporo tu
 
poro la wali mseto bwana weeee likutane na chai ya maziwa jizaz kraist
 
Kiporo cha mchezo wa kutafuta watoto cha alfajir ndio mwisho wa matatizo..

Unakula fasta ..unashushia na chai ya tangawizi...wine ikasome...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…