Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
- Thread starter
- #141
Oh yeah,😄Kiporo cha
Mahindi ya kuchemsha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh yeah,😄Kiporo cha
Mahindi ya kuchemsha
Alafu zamani nilipokuwa shule ya msingi, nilikuwa naweka hindi moja kwenye mfuko wa kaptula napukuchulia humohumo kisha natafuna kama karanga basi mfuko unalowa na unanukia kama perfume fulani hivi,😀Oh yeah,😄
😂Alafu zamani nilipokuwa shule ya msingi, nilikuwa naweka hindi moja kwenye mfuko wa kaptula napukuchulia humohumo kisha natafuna kama karanga basi mfuko unalowa na unanukia kama perfume fulani hivi,😀
Ushuzi wake unakuwa amazing sanaaSasa hapo ukijamba
Sent from my iPhone using JamiiForums
HahahaaaaaMimi ni mvuvi sana kula hususani usiku,ila kama baba mwenye nyumba Kiporo hua hakiguswi na mtu kabisaa zaidi yangu,napenda sana kiporo
Kiporo cha wali,maharage na nyama,hapo ni balaa tupu hua nalala nakiwaza kabisaa
Alafu zamani nilipokuwa shule ya msingi, nilikuwa naweka hindi moja kwenye mfuko wa kaptula napukuchulia humohumo kisha natafuna kama karanga basi mfuko unalowa na unanukia kama perfume fulani hivi,[emoji3]
Yaani jaribu dada uone mamboMmh hadi ndaza?
Acha kufananisha kiporo cha wali maharage na vitu vya kijinga.