Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu, watu wengi wanapenda kunywa chai na vitafunwa vya aina mbalimbali, ikiwepo mikate, maandazi, vitumbua, sambusa, nk.
Lakini kitafunwa cha kiporo kiwe ni wali wa maharagwe, makande, ndizi nyama, nk kimekuwa kikiniwa kitamu sana.
Pamoja na kuwa kiporo hunoga sana, ila watu husema kuwa kiporo kimekuwa kikisababisha kuwa na tumbo kubwa.
Nawasilisha