Kiporo: Kitafunwa cha chai chenye utamu wa pekee

Kiporo: Kitafunwa cha chai chenye utamu wa pekee

Wakati mwingine waweza hisi na kuona inakupa kiporo peke yako kumbe tupo wengi tu asante
 
Hivi kuna mbongo hanywi chai na kiporo cha mandondo,.???kiporo kingine cha wali na kisamvu cha nazii aiseeee acha tuu bongo rahaaaa...
 
Daah. Kiporo cha wali Nazi na Kisamvu Nazi, Wacha kabisa!
 
Yaan mi napendaga kiporo cha wali ndondo na ndizi nyama weee[emoji39][emoji39][emoji39]
 
View attachment 637164

Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu, watu wengi wanapenda kunywa chai na vitafunwa vya aina mbalimbali, ikiwepo mikate, maandazi, vitumbua, sambusa, nk.

Lakini kitafunwa cha kiporo kiwe ni wali wa maharagwe, makande, ndizi nyama, nk kimekuwa kikiniwa kitamu sana.

Pamoja na kuwa kiporo hunoga sana, ila watu husema kuwa kiporo kimekuwa kikisababisha kuwa na tumbo kubwa.

Nawasilisha
Mkuu hayo meupe manene nene ni vitunguu maji?
 
Back
Top Bottom