Kiporo: Kitafunwa cha chai chenye utamu wa pekee

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598


Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu, watu wengi wanapenda kunywa chai na vitafunwa vya aina mbalimbali, ikiwepo mikate, maandazi, vitumbua, sambusa, nk.

Lakini kitafunwa cha kiporo kiwe ni wali wa maharagwe, makande, ndizi nyama, nk kimekuwa kikiniwa kitamu sana.

Pamoja na kuwa kiporo hunoga sana, ila watu husema kuwa kiporo kimekuwa kikisababisha kuwa na tumbo kubwa.

Nawasilisha
 
Wee nae nikajua msela wako aliyekubandua zamani umepasha kumbe kiporo kweli..[emoji23][emoji23][emoji23]

Kiporo/kijogoo kwangu huwa najua ni cha ubwabwa tu.[emoji137][emoji137]
 
Reactions: BAK
Duuuu mi sipendi kiporo aisee sijui nikoje
 
Daah...!! Hiko kiporo kinaonekana kitamu, ila kwann umekiweka kwenye sahani ya plastic bwana[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…