Kipre Tcheche atua Yanga kwa 180m!

Kipre Tcheche atua Yanga kwa 180m!

Huyu hana kiwango cha kuchezea yanga
 
haya haya, nyakati zimebadilika. Mkiandika hivi mkumbuke kuwa TRA nao wanapiga hodi!
 
Mkuu msimu huu hatuhitaji wachezaji wa uchochoroni.. Tunataka 1st class players walio katika 1st eleven za national team zao.

Mkuu vipi kile Kikosi cha Dhahabu cha Msimbazi kikiongonzwa na wakina "Messi"?
 
Timu za Tanzania bhana.kila msimu nusu ya wachezaji wanaachwa,wanakuja wapya wengine,na kusajiri kwa misifa bila ya uhitaji wa Timu....tutaendelea kufungana wenyewe kwa wenyewe ila tukikutana na timu zenye akili....baba jeny bye bye.
 
Back
Top Bottom