Kipruto ashinda Gold

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
9,552
Reaction score
24,166
Muda mfupi uliopita Mwanariadha matata sana wa Kenya CONSESLUS KIPRUTO ameshinda GOLD MEDAL (MEDALI YA DHAHABU) katika mbio za mita 3000 kwenye mashindano ya riadha ulimwenguni yanayoendelea pale Doha, Qatar.
Hongera kwa KIPRUTO...Hongera kwa KENYA.
 
Hivi Serikali ya Hapa Kazi tu imepeleka wawakilishi wa nchi yetu huko Qatar? Maana sisikii wameshida walau medali shaba.

cc. Dr. Mwakyembe
 
that was as close as it come ...... 254 to the world !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…