MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Muda mfupi uliopita Mwanariadha matata sana wa Kenya CONSESLUS KIPRUTO ameshinda GOLD MEDAL (MEDALI YA DHAHABU) katika mbio za mita 3000 kwenye mashindano ya riadha ulimwenguni yanayoendelea pale Doha, Qatar.
Hongera kwa KIPRUTO...Hongera kwa KENYA.
Hongera kwa KIPRUTO...Hongera kwa KENYA.