Kipunguni awa Kiwalani

Kiwalani

Senior Member
Joined
Feb 25, 2010
Posts
129
Reaction score
12
Nawasalimia wakuu wote na kuwafahamisha kwamba mimi ndiye Kipunguni, na kwa sababu zisizoweza kuzuilika nitajulikana kama Kiwalani kuanzia sasa.

Shukurani sana wakuu, tuendeleze libeneke ..... hakuna kulala!
 
Kwa nini umebadili Jina? Kipunguni nimekaa sans mkuu kabla hata watu hawajaanza kujenga majohe Kule;D😀:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…