Kiwalani Senior Member Joined Feb 25, 2010 Posts 129 Reaction score 12 Feb 25, 2010 #1 Nawasalimia wakuu wote na kuwafahamisha kwamba mimi ndiye Kipunguni, na kwa sababu zisizoweza kuzuilika nitajulikana kama Kiwalani kuanzia sasa. Shukurani sana wakuu, tuendeleze libeneke ..... hakuna kulala!
Nawasalimia wakuu wote na kuwafahamisha kwamba mimi ndiye Kipunguni, na kwa sababu zisizoweza kuzuilika nitajulikana kama Kiwalani kuanzia sasa. Shukurani sana wakuu, tuendeleze libeneke ..... hakuna kulala!
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,803 Reaction score 1,601 Feb 25, 2010 #2 Ohh welcome ndugu!
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Feb 26, 2010 #3 Kwa nini umebadili Jina? Kipunguni nimekaa sans mkuu kabla hata watu hawajaanza kujenga majohe Kule;D😀:
Kwa nini umebadili Jina? Kipunguni nimekaa sans mkuu kabla hata watu hawajaanza kujenga majohe Kule;D😀: