Kipupwe kinavyofanya ngozi ipauke

Kipupwe kinavyofanya ngozi ipauke

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,..

Kama muonavyo hali ya hewa kwa sasa ni kipupwe cha baridi. Hali hii ya hewa inasababisha ngozi kupauka sana na mafuta hayakai ktk ngozi.

Kwa wataalamu wa ngozi waje watuambie tufanyeje ili tusipauke...
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,..

Kama muonavyo hali ya hewa kwa sasa ni kipupwe cha baridi.

Hali hii ya hewa inasababisha ngozi kupauka sana na mafuta hayakai ktk ngozi.

Wenye vipara huwa wanawashwa utosini
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,..

Kama muonavyo hali ya hewa kwa sasa ni kipupwe cha baridi.

Hali hii ya hewa inasababisha ngozi kupauka sana na mafuta hayakai ktk ngozi.

Kwa wataalamu wa ngozi waje watuambie tufanyeje ili tusipauke...
Mi natumia mafuta ya nazi Parachute nakuwa fresh kabisa.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,..

Kama muonavyo hali ya hewa kwa sasa ni kipupwe cha baridi.

Hali hii ya hewa inasababisha ngozi kupauka sana na mafuta hayakai ktk ngozi.

Kwa wataalamu wa ngozi waje watuambie tufanyeje ili tusipauke...
Ukitoa hii mada mkuu waga unatumia losheni gani?

asking for a friend
 
Napaka glycerine, lotion na olive oil.....hapo at least ngozi inakaa vizuri
 
Tuko wengi. Mi huwa nna ngozi kavu. Hivyo basi kipindi hiki napaka mafuta mengi balaa. Naanza na harboline, inafuata babyjohnson ya maji then namalizia na lotion. Na hapo kwenye pochi natembea na kichupa cha lotion. Kama ngozi yako ina mafuta ukifanya hivo unaweza pata chunusi si za nchi hii.
 
Mimi pia Nina ngozi Kavu, nisipofanya hivo napauka balaa
 
Back
Top Bottom