Kipupwe kinavyofanya ngozi ipauke

Kipupwe kinavyofanya ngozi ipauke

Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,..

Kama muonavyo hali ya hewa kwa sasa ni kipupwe cha baridi. Hali hii ya hewa inasababisha ngozi kupauka sana na mafuta hayakai ktk ngozi.

Kwa wataalamu wa ngozi waje watuambie tufanyeje ili tusipauke...
Skin moisturizer, au glycerine au usiku kabla ujalala unapakaa mafuta ya mawese ni mazuri pia......
 
paka mayai kile kiini changanya na mafuta but ukiongeza overcado ni nzuri zaidi
 
Vumbi, Upepo, Maji Ya Mzakwe, Dodoma Uvumilivu Mwingi Sana
 
Dodoma kuna kipindi nzi wanakudanda mpaka mdomoni jinsi maji ya chumvi yanavyobabua mdomo unakuwa kama aziz funguo.
 
Back
Top Bottom