Wenye vipara huwa wanawashwa utosiniHabari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,..
Kama muonavyo hali ya hewa kwa sasa ni kipupwe cha baridi.
Hali hii ya hewa inasababisha ngozi kupauka sana na mafuta hayakai ktk ngozi.
Kwa wataalamu wa ngozi waje watuambie tufanyeje ili tusipauke...
Mi natumia mafuta ya nazi Parachute nakuwa fresh kabisa.Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,..
Kama muonavyo hali ya hewa kwa sasa ni kipupwe cha baridi.
Hali hii ya hewa inasababisha ngozi kupauka sana na mafuta hayakai ktk ngozi.
Kwa wataalamu wa ngozi waje watuambie tufanyeje ili tusipauke...
Ukitoa hii mada mkuu waga unatumia losheni gani?Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,..
Kama muonavyo hali ya hewa kwa sasa ni kipupwe cha baridi.
Hali hii ya hewa inasababisha ngozi kupauka sana na mafuta hayakai ktk ngozi.
Kwa wataalamu wa ngozi waje watuambie tufanyeje ili tusipauke...
Tuko wengi. Mi huwa nna ngozi kavu. Hivyo basi kipindi hiki napaka mafuta mengi balaa. Naanza na harboline, inafuata babyjohnson ya maji then namalizia na lotion. Na hapo kwenye pochi natembea na kichupa cha lotion. Kama ngozi yako ina mafuta ukifanya hivo unaweza pata chunusi si za nchi hii.Napaka glycerine, lotion na olive oil.....hapo at least ngozi inakaa vizuri
Mimi pia Nina ngozi Kavu, nisipofanya hivo napauka balaaTuko wengi. Mi huwa nna ngozi kavu. Hivyo basi kipindi hiki napaka mafuta mengi balaa. Naanza na harboline, inafuata babyjohnson ya maji then namalizia na lotion. Na hapo kwenye pochi natembea na kichupa cha lotion. Kama ngozi yako ina mafuta ukifanya hivo unaweza pata chunusi si za nchi hii.
Glycerine inazeesha ngozi, usipake usoniNapaka glycerine, lotion na olive oil.....hapo at least ngozi inakaa vizuri