Olive oil huwa nakunywa.....Napaka glycerine, lotion na olive oil.....hapo at least ngozi inakaa vizuri
Nipe faida zake mkuuOlive oil huwa nakunywa.....
Shukran.Glycerine inazeesha ngozi, usipake usoni
Skin moisturizer, au glycerine au usiku kabla ujalala unapakaa mafuta ya mawese ni mazuri pia......Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,..
Kama muonavyo hali ya hewa kwa sasa ni kipupwe cha baridi. Hali hii ya hewa inasababisha ngozi kupauka sana na mafuta hayakai ktk ngozi.
Kwa wataalamu wa ngozi waje watuambie tufanyeje ili tusipauke...
Imagine Dodoma kulivo halafu kuwe na kipupwe utajikimbia mwenyewe!Ndio [emoji1787]
Hakika...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unataka uone mpauko