Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
talaka tena ? mbona lengo ni kuwa na wanne ?
oops!!! kume wimbo ......!!!?kila siku kaka unanifuata unadai ya kwamba unanitaka, eti unanipenda unaniwaza, hulali bila mimi kuniota, pesa unaleta sijakuomba, naishi home kwetu bila shida...
Sasa unanishangaza wewe unamke sasa sijui nini kwangu unataka,
na anavyo kupenda nimesha sikia anadai ukimwacha ata data......
Kama ni penziii labda utapata ukimwachaa, Ooh babe chochote utapata unachokitakaa
............. Naimba tu jamani................
oops!!! kume wimbo ......!!!?
oooo ! I ddnt know now I know.namaanisha ujue
oooo ! I ddnt know now I know.
oops!!! kume wimbo ......!!!?
wewe hapana
wengine mnakuwa baridi wenyewe halafu mnatusingizia
Hakunaga mwanaume wabaridi !
Hiyo character iko kwa wenye mnasaba na "viti maalum"