Kiranga kimeniisha!

Kiranga kimeniisha!

Mwanaume unaishiwaje "kiranga"

Afu kupigwa hela kwenye mahusiano inategemea umekujaje bro umekuja unasema
"Bby I will give you everything you want" unategemea nisikuombe ela

Wanaume wengi mnakuja na swaga zilizonje ya uwezo wenu ndo Mana mnapigwa matukio na hayataisha mpaka mjirekebishe
Duh ama kweli jamii forum ni hazina ya kujifunza kila siku.
 
Back
Top Bottom