akili za kiranga unazomsifia sijui ni zipi,labda za kukimbia maswali,kujibu swali na swali ,kukomalia point zilezile kila siku hata akifafanuliwa,kukiri kwamba universe ipo na haiwezi kujiumba yenyewe ila hataki kuamini aliyeumba ni mkuu kuliko vyote,kusema kuna contradiction kwenye maandiko matakatifu na kutoa maandishi mengi ya kukopi na kupesti lakini ukimwambia aseme contradiction hata moja kwenye hayo maandishi yake hawezi anakwambia hujui kiingereza.
labda hizo ndio akili nyingi