Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi kuna hawa washikaji kiranga, Likud na mshana. Hawa jamaa baba yao ni mmoja nahis hata mama yao atakuwa ni mmjo sema tu hawajuani
Kwanza sijawah kuwaelewa hata siku moja. Japo kiranga anaonekana kuwa MTU mwenye akili nyingi sana ambazo hazipimiki
Mshana hasomek yupo upande upi japo hukwama kwa kaka yake kiranga
Likud huyu sijui ni mjuu Wa mwanamalunde sijui ni mjukuu Wa bibi fisi yaan hata sielewagi kabisa aisee
Yote kwa yote hawa jamaa baba yao ni mmoja
LIKUD Kiranga Mshana Jr