Mdau mmoja amemuuliza Kiredio kwanini siku hizi kaacha kabisa kazi yake ya kupost maudhui mtandaoni baada ya kuachana na aliye kuwa mpenzi wake, Vee Dollars.
Kiredio ameshangaza wengi Kwa jibu alilo litoa, Kiredio amejibu kuwa;
"Siku hizi kumiliki mwanamke mzuri mwenye Shepu ni kazi sana ni kujitafutia Presha na utakufa mapema, sitorudia tena kumpa mwanamke umaarufu inaumiza sana, wewe fikiria Kuna tajiri ana mtumia demu wako Milion halafu anamwambia hiyo ni ya vocha tu mama tuwasiliane"
View attachment 3665148