Mabobish
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 367
- 282
Waungwana naomba mnisaidie kirefu cha Neno "DM". Mfano kwenye kuchart mitandaoni kama Face book ama Instagram nimekutana sana na sentensi " Nifuate DM" sasa kirefu cha neno DM kimenipita mbali, tafadhali sana majuzi wa neno tajwa naomba mnipanue ubongo kidogo juu ya neno DM please. Jamani kumbuka aulizae ataka kujua so nisibezwe tafadhali