Kirikou/Suzuki carry

Kirikou/Suzuki carry

Jenseny

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1,743
Reaction score
1,738
hii gari ni sh ngap mpya? na vp kuhusu consumption ya mafuta kampuni gani inazi import kwa bei rahisi na kwa muda sahh je ni sahh kununua za mtaani coz nataka anza nayo biashara
 
Kirikiu second hand ni m 7.5 hadi 8.5 uki import toka Japan. Ndio gari ambazo zinakula wese kidogo sana engine yake ni cc660
 
Duh Mpwa viko juu sana hadi 10m ukienda Showroom, kazi ni kwako
 
hii gari ni sh ngap mpya? na vp kuhusu consumption ya mafuta kampuni gani inazi import kwa bei rahisi na kwa muda sahh je ni sahh kununua za mtaani coz nataka anza nayo biashara
Wazo zuri mkuu ila hakikisha unaridhisha kila taarifa ya hilo gari unalotaka kununua.
 
biashara na kirikuu? kwnn usinunue bajaj au ndo kpendacho roho
 
Mkuu eminentia ungetuambia kwa nini Bajaj na si kirikuu ili tupate jifunza
 
Mimi niliwahi kumiliki Suzuki omni, kusema kweli vile vigari ni jiwe mafuta ya 10000 unatembelea hadi unasahau, kukatest nilitoka nako dar hadi mbeya na kurudi bila yatizo lolote
 
Back
Top Bottom