Kiroho safi Wema Sepetu amemtakia Zarithebosslady happy birthday

Kama Wema sio mnafiki angeikataza timu yake kumtukana zari matusi ya nguoni.wanasema mjinga mnyamazie angetumia msemo huo kuwapotezea team zari watukanaji ila kakaa kimya wametukanwa tiffa,nillan ,yeye kimya anachekelea saiv anajileta kumuwish zari huhuhuu kujipendekeza on fleek
 
Ila Wema mibangi yako inapoamkiaga ...Si uwakaushie tu watu na mambo yao mbona Penny, Jokate wamemove on? Wewe tu, mara oooh Dillan anafanana na chibu alivyokuwa mtoto! Wee ulimzaa chibu? Au utotoni ulicheza nae? Too much kujipendekeza na ndo maana yale mateam yanakuchamba!

Na ni kweli unajipendekeza kwa Zari na unataka kuwa nae karibu kwani uwongo?...ungejua huyo mbibi anavyokuhate kuliko hata mademu wote was Domo! Yaani bora hata Hamisa kuliko wewe[emoji23] [emoji23] full kuchoreka ....Stop t bana!
 
RTE="bestmale, post: 23605433, member: 342627"]Mnafiki hicho kibibi eti wema akamponde anavyoiponda parfume ya daimondi... kinafiki sana hicho kibibi ndomana kigumba.[/QUOTE]
Umba wako wanaozaa asubuhi mchana na jioni..........mchawi kasoro tunguli weee
 
RTE="bestmale, post: 23605433, member: 342627"]Mnafiki hicho kibibi eti wema akamponde anavyoiponda parfume ya daimondi... kinafiki sana hicho kibibi ndomana kigumba.
Umba wako wanaozaa asubuhi mchana na jioni..........mchawi kasoro tunguli weee[/QUOTE]
Potelea mbali shetani mkubwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…