Kiroho safi Wema Sepetu amemtakia Zarithebosslady happy birthday

Duh!!!
 
Umba wako wanaozaa asubuhi mchana na jioni..........mchawi kasoro tunguli weee
Potelea mbali shetani mkubwa..[/QUOTE]
Shetani we unayejua km ni mgumba mana unaujua mwsho wake......shubahamiti ww
 
Umba wako wanaozaa asubuhi mchana na jioni..........mchawi kasoro tunguli weee
Potelea mbali shetani mkubwa..[/QUOTE]
Umejuaje hana tunguri?Watu wenye kumkosoa Mungu mara nyingi hata tunguri ni sehemu ya furaha yao
 
Tangu wema amehamia chadema amekuwa ni mtu ana akili sana
 
ata kama ni mnafiki ila kafanya vizuri big up no one perfect

sometime malaika wa heri hutembelea motoni
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji6] [emoji124] umeuaaaa
 
Adui yako muombee njaa ishampata sasa unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…