Kiroho zaidi: Wazee mliopewa mechi ya Yanga kumbukeni sfaili hii ya ulozi ya kubadilisha jina la mpinzani

Kiroho zaidi: Wazee mliopewa mechi ya Yanga kumbukeni sfaili hii ya ulozi ya kubadilisha jina la mpinzani

Wenzio wanawaza Kibwana kule beki 2 na Zawadi Mauya katikati itakuwaje wewe unakuja na eti Mtibwa [emoji1787][emoji1787]
 
Hii ni kanuni katika uchawi ambayo inatumika toka enzi za Pontyo wa Pilato. Ni hivi unapo ingia Vitani na mshindani mwenye nguvu unatakiwa kwanza kumbadilisha jina lake. Usidhindane na mshindani wako mwenye nguvu kwa kumtaja jina lake ambalo of course lina nguvu na historia.

During Lucifer's rebellion in the Heavens ili Mungu amshinde Lucifer ilimbidi kwanza am rename amuite shetani na malaika wote walio asi pamoja nae awaite mapepo ndio at least akafanikiwa walau kuwa push back from thw heavens to this realm but vinginevyo vita hiyo hasi leo ingekuwa inapigwanwa kwa sababu Lucifer is the most powerful name both in the heavens and on earth.

So watu wa kamati ya ufundi wa Yanga lazima mzingatie hii kanuni.

First of all you have to give them another name, a name which u have power over it.

For example wapeni jina Mtibwa au KMC.

Like " Nyinyi sio Mamelodi Sundowns ila nyinyi ni Mtibwa" we decree and declare that ur nothing to us but Mtibwa.

Na majina muwabadilishe kabisa wapeni majina ya wachezaji wa mtibwa mkiwa mnafanya mambo yenu au majina yoyote dhaifu.

Washusheni kinyota kutoka kwenye Umamelody hadi kwenye u Mtibwa so mnapoiingiza timu uwanjani inakuwa inaenda kucheza na Mtibwa sio Mamelody.

Hala Young Africans.

UP DATE : TAYARI NIMEANZA MIMI RASMI KWENYE MECHI YA YANGA VS MAMELODY HAWATAITWA MAMELODY BALI WATAITWA MTIBWA.

OLE WAKO UWAITE MAMELODY KWENYE UZI WANGU. WANAITWA MTIBWA.

RASMI IN THE REALM OF THE SPIRIT HIYO TAREHE 20 ITAKUWA NI YANGA VS MTIBWA.

ALI KAMWE CHUKUA HII
Hivi mnamjua mnyama anayeitwa sandawana?
 
Back
Top Bottom