Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo umbali wa Kilometa zisizozidi 30 kutoka manispaa ya morogoro ( morogoro mjini). Hali ya hewa yake haitofautiani na morogoro mjini au hata kibaha. Kuna kilimo cha minazi, machungwa, machenza, shelisheli mti, mafenesi , kilimo cha mpunga miwa, mahindi, tikiti maji na mazao mengine mengi.wadau, naombeni mwenye details kuhusu shule ya sec kiroka iliyopo morogoro,
mazingiraye na hali ya hewa.
economic activities surrounding etc. Nawasilisha