Kiroka sekondari

Kiroka sekondari

bejamini

Senior Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
121
Reaction score
13
wadau, naombeni mwenye details kuhusu shule ya sec kiroka iliyopo morogoro,
mazingiraye na hali ya hewa.
economic activities surrounding etc. Nawasilisha
 
wadau, naombeni mwenye details kuhusu shule ya sec kiroka iliyopo morogoro,
mazingiraye na hali ya hewa.
economic activities surrounding etc. Nawasilisha
Ipo umbali wa Kilometa zisizozidi 30 kutoka manispaa ya morogoro ( morogoro mjini). Hali ya hewa yake haitofautiani na morogoro mjini au hata kibaha. Kuna kilimo cha minazi, machungwa, machenza, shelisheli mti, mafenesi , kilimo cha mpunga miwa, mahindi, tikiti maji na mazao mengine mengi.
 
nilisoma hapo elimu yangu ya o-level, iko vizuri ni kijijini lakini kuna huduma zote muhimu kwa maisha
kama hospital, maji
uchumi hauko chini, jamii ina ushirikiano mwema na shule ile japo skul ipo kwenye mwinuko pembeni ya jamii
umbali ni km 25 kutoka mjini, shule iko 1km toka njia kuu

karibu kiroka sec.
 
asanteni sana wadau, by July ntakuwapo hapo nikifundisha.

pamoja sn
 
Back
Top Bottom