nilisoma hapo elimu yangu ya o-level, iko vizuri ni kijijini lakini kuna huduma zote muhimu kwa maisha
kama hospital, maji
uchumi hauko chini, jamii ina ushirikiano mwema na shule ile japo skul ipo kwenye mwinuko pembeni ya jamii
umbali ni km 25 kutoka mjini, shule iko 1km toka njia kuu
karibu kiroka sec.