Kirumba, Mwanza: Mbao 2-0 Yanga, Yanga yapokea kichapo Cha kwanza na kudondokea nafasi ya nne

YANGA Africa ya Dar es salaam klabu pekee inayo miliki Swimming Pool hatimae Leo imekipata kipigo cha mbwa koko kutoka kwa Mbao FC ya Mwanza Kwa bao 2-0 jioni kweupeeee.Mbao FC imeupata ushindi Kwa MBINDE.
Hahahaha kwa mbinde???
 
YANGA Africa ya Dar es salaam klabu pekee inayo miliki Swimming Pool hatimae Leo imekipata kipigo cha mbwa koko kutoka kwa Mbao FC ya Mwanza Kwa bao 2-0 jioni kweupeeee.Mbao FC imeupata ushindi Kwa MBINDE.
ndala fc fukuza wachezaji bakiza kocha
 
Hapana najaribu kukusaidia ili uuage 2017 vizuri na pia kuukaribisha 2018 vizuri bila maumivu wala donge. Jezi uliyovaa leo umeshaivua? πŸ™‚πŸ™‚
Hahaaa. Niliivua baada ya goli la kwanza tu.

Ahsante kwa ushauri.
 
Reactions: BAK
Kufungwa kufungwa tu Hakuna kwa mbine Wala kufa kisabuni kufungwa ni kufungwa tu.
 
Ndiyo makosa uliyoyafanya ulitakiwa uendelee kuivaa tu mngeweza kusawazisha na kushinda 3-2 au hata 4-2 LoL!
Hahaaa. Si unajua Emmy moyo wake haupendi maumivu sasa alivyoona goli la kwanza na akiangalia jezi yake akajikuta anatamani kulia.

Ila ndio hivyo, nashukuru kwa yote tu sababu hata majuzi kuna Bingwa alivuliwa ubingwa na timu ya daraja sijui la ngapi lileee. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Reactions: BAK
Hahahahaha lol! Mashindano mbuzi yale ya vikombe uchwara usiyape uzito mkubwa.

Hahahahaha lol! Mashindano mbuzi yale ya vikombe uchwara usiyape uzito mkubwa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] leo hii ndio kombe la mbuzi. Ubingwa wake mlishangilia kupita maelezo.

Haya bana. Nakubali matokeo ndio mpira ulivyo na siku zote una matokeo matatu.
 
Reactions: BAK
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Emmyta wew yanga ??????huyoooooooo huyooooooooo.

Daaah nakumbuka nilipokua A level , mschana Wangu anashabikia Yanga ,Mimi simba [emoji23] [emoji23] [emoji23] haaaaaaaaa ilikua nipatashika siku yanga akishinda !!.

Siwapendi yanga haooooo siwapendi balaaa.
 
Si unavijua hivi vitimu vya mchangani. Huwa vinapiga buti ile mbaya hivyo ni bora kuviachia vishinde tu kuliko wacheza waumieπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] leo hii ndio kombe la mbuzi. Ubingwa wake mlishangilia kupita maelezo.

Haya bana. Nakubali matokeo ndio mpira ulivyo na siku zote una matokeo matatu.
 
Pole sanaaaa. Inaelekea unapenda kuweka roho yako juu sio bure.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Si unavijua hivi vitimu vya mchangani. Huwa vinapiga buti ile mbaya hivyo ni bora kuviachia vishinde tu kuliko wacheza waumieπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Hahahaaa. Hamkosi sababu. Ila poleni sana.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…