Kirumba, Mwanza: Mbao 2-0 Yanga, Yanga yapokea kichapo Cha kwanza na kudondokea nafasi ya nne

Kirumba, Mwanza: Mbao 2-0 Yanga, Yanga yapokea kichapo Cha kwanza na kudondokea nafasi ya nne

Pole sanaaaa. Inaelekea unapenda kuweka roho yako juu sio bure.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji57] mapenzi ni mapenzi tuuuu watu wanajinyonga kisa Liverpool ya ulaya ,sembuse simba yangu ninayoiona kila siku ????.roho lazima iwe juu sababu nikitu kitu nachokipenda hata kikawa ndani ya damu yangu.... Adui wako mkubwa akifungwa unashangalia San.

Pole nikupe wewe unayenishangaa Mimi wakat unasahau kuna kipindi wazeee wasimba nayanga hata msibani walikua hawasalimiani.
 
Daaaa nyie mbao Mungu anawaona lakini, yaani tuumalize mwaka kwa hudhuni na kuanza mwaka kwa majonzi sawa BNA malipo Ni hapa hapa
 
Wana Mbao wanavyomtafuna Yanga.....

1b8afa57e4372478d1a4211504413dda.jpg
 
[HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Jana Kaunyonya Basi [HASHTAG]#Fanboys[/HASHTAG] Wake wamekuwa Wanyonge Kinoma.... 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom