Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
[emoji23] [emoji23] [emoji57] mapenzi ni mapenzi tuuuu watu wanajinyonga kisa Liverpool ya ulaya ,sembuse simba yangu ninayoiona kila siku ????.roho lazima iwe juu sababu nikitu kitu nachokipenda hata kikawa ndani ya damu yangu.... Adui wako mkubwa akifungwa unashangalia San.Pole sanaaaa. Inaelekea unapenda kuweka roho yako juu sio bure.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Pole nikupe wewe unayenishangaa Mimi wakat unasahau kuna kipindi wazeee wasimba nayanga hata msibani walikua hawasalimiani.