Kirumba sekondari yaongoza katika uandishi wa insha

Kirumba sekondari yaongoza katika uandishi wa insha

pamba boy

Senior Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
181
Reaction score
266
Shule ya sekondari kirumba ilemela mwanza imeshinda katika uandishi wa insha ya Utalii.Washindi wote watatu wametoka kirumba sekondari ambayo ni shule ya Kata.Waziri Nyarandu alikuwepo katika kilele na utoaji wa zawadi.
 
Hongereni vijana wa mulugo..

Kwani hayo mashindano yalikuwa ya ngazi gani?? ,isije ikawa ngazi ya kata...
 
Back
Top Bottom