polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Kwenda nitaenda ila sio kwa kubeza ugonjwa wowote ule nitaheshimu maelekezo ya wataalam na nitayatekeleza ,sasa nduguyo alipeleka udikteta hadi kwenye ugonjwa halafu kafa kwa ugonjwa huo huo eti leo mnatuambia yeye hero! Labda kama siaelewi maana ya hero!Hata wewe unasubiriwa huko kuzimu
Ni sawa kupigana na mtu aliye kuzidi kilakitu halafu ukipigwa eti wafuasi wako wakuitr wewe hero! UJINGA HUU
NI sawa na DULA MBABE leo eri ajiite hero! kwa TWAHA KIDUKU 😅😅😅😅😅😅