Kwenda nitaenda ila sio kwa kubeza ugonjwa wowote ule nitaheshimu maelekezo ya wataalam na nitayatekeleza ,sasa nduguyo alipeleka udikteta hadi kwenye ugonjwa halafu kafa kwa ugonjwa huo huo eti leo mnatuambia yeye hero! Labda kama siaelewi maana ya hero!Hata wewe unasubiriwa huko kuzimu
Tatizo na yeye alipiga goti lakini mwisho wa siku kakutwa akiwa kapiga goti na akatembelewa mazimaTukimbilie kulee tulipo elekezwa na Hayati Mpendwa Magufuli. Tupige goti kwa dhati kwa aliye tuumba
Ujinga tu unakusumbua kwa kusifia vilivyooza kwa sifa za kijinga.
Huyo Magu wako alimrudia Mungu kwa alichomfanyia Lissu na Ben Saa8?
Kwani uliambiwa chanjo inadhibiti asilimia 100?
Sayansi haijawahi kufeli,Mungu alishatoa suluhu kupitia sayansi,punguza uzwaza!
Alipingana na science akaamini ushirikina, Mungu fundi
Teh teh teh... Kamongo alitaka kumwua Lissu akafa yeye ..
Pole sana kama mlifurahia ujane wa wenzenu furahia na wako sasa!!
Ila we nawe lijinga sana atabakia kuwa hero wa kuzimu? wakati covid imesha mtanguliza kuzimu na u hero? wake hivi una akili kweli kumshabikia mtu aliye shindwa ?
Kwenda nitaenda ila sio kwa kubeza ugonjwa wowote ule nitaheshimu maelekezo ya wataalam na nitayatekeleza ,sasa nduguyo alipeleka udikteta hadi kwenye ugonjwa halafu kafa kwa ugonjwa huo huo eti leo mnatuambia yeye hero! Labda kama siaelewi maana ya hero!
Ni sawa kupigana na mtu aliye kuzidi kilakitu halafu ukipigwa eti wafuasi wako wakuitr wewe hero! UJINGA HUU
NI sawa na DULA MBABE leo eri ajiite hero! kwa TWAHA KIDUKU [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tatizo na yeye alipiga goti lakini mwisho wa siku kakutwa akiwa kapiga goti na akatembelewa mazima
Tuache kutafuta sifa za kijinga na kumtukuza mtu aliye toa mbinu zilizo mshinda hata yeye unapo pewa tahadhari na wataalamu chukua tahadhari usilete siasa kwenye mambo ya kitaalamu hata mungu ndio maana akakupa akili na wewe uzitumie.
Magu hakuwa na Mungu,alikuwa ni zao la shetani maana Mungu haruhusu uzinifu,uuaji,uongo,dhulma na rushwa...hivi vyote Magu alikuwa navyo,na Mungu alimuadhibu kwa kifo cha corona.zwazwa ni wewe mkuu usiyejua kirusi kimekataa chanjo zao la science!!!
roho inakuuma magu kumtukuza Mungu wake!!!
kajitie kidole unuse upate handas.
Magu hakuwa na Mungu,alikuwa ni zao la shetani maana Mungu haruhusu uzinifu,uuaji,uongo,dhulma na rushwa...hivi vyote Magu alikuwa navyo,na Mungu alimuadhibu kwa kifo cha corona.
Sasa ata kama chanjo inafeli wewe unafurahi!? Kama unafurahia basi wewe ni zao la shetani sawa na Bwanaako Magu na Mungu wenu ibilisi.
Wapi nimemaanisha ivyo?kwahiyo waliokufa kwa corona wote wameadhibiwa!!!
tukisema uzezeta ni ugonjwa mnakasirika.
Wapi nimemaanisha ivyo?
Ata kusoma kwa uelewa haujui!
Waste of sperm!