#COVID19 Kirusi kipya cha Corona, Deltacron chagunduliwa

#COVID19 Kirusi kipya cha Corona, Deltacron chagunduliwa

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
4,512
Reaction score
6,882
Kirusi kipya cha korona kilichotokana na muunganiko wa virusi vya delta na omicron kimegunduliwa huko nchini Cyprus

Kirusi hicho kipya kilichopewa jina la Deltacron mpaka sasa kimegundulika kwa watu 25 tu huko Cyprus na bado haijawa wazi uhatari wa kirusi hiki ukilinganisha na virusi vya delta & omicron
 
Kwendeni zenu huko tushawachoka!
 
Kiko weak tu kinawaua wao. Binadamu labda apigwe mabomu ya nuclear hivi hivi hatuishi
hata NUCLEAR tutasurvive tu nenda uchek SERIEZ ya THE 100 utaelewa

BINADAMU tumetengenezwa kwa Spish tofauti tofauti sana na tumepewa uwezo wa kukabikiana na majanga mbalimbali kulingana na eneo au spish uliyonayo hayo ni mambo ya mpito yatakwisha

Na siri kubwa ya CORONA ishajulikana ni HOFU ukiishinda HOFU umeishinda CORONA
 
Kuna kiruai kingine tena kinaitwa Marburg kipo West Africa huko. Kila kukicha ni virusi vya kutengeneza wameshagundua Kuna hela ya bure, unatengeneza kirusi then unatengeneza chanjo.

Wazungu washenzi sana.
 
Tunasubiri majibu sayari ya Mars kama kuna maisha huko tuhamie,Dunia si sehemu salama kuishi.
 
Back
Top Bottom