kalikalanje
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 226
- 285
Ndiyo wameoana na kuna uja uzito mtoto atazaliwa mwishoni mwa 2022Wameoana au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo wameoana na kuna uja uzito mtoto atazaliwa mwishoni mwa 2022Wameoana au?
Corona ni ujingaujinga fulani hivi wa west.Tumefikia booster ya ngapi?
Share zangu za Pfizer siuzi ng'o!
Hakika..Kuna kiruai kingine tena kinaitwa Marburg kipo West Africa huko. Kila kukicha ni virusi vya kutengeneza wameshagundua Kuna hela ya bure, unatengeneza kirusi then unatengeneza chanjo.
Wazungu washenzi sana.
Kirusi kipya cha korona kilichotokana na muunganiko wa virusi vya delta na omicron kimegunduliwa huko nchini Cyprus
Kirusi hicho kipya kilichopewa jina la Deltacron mpaka sasa kimegundulika kwa watu 25 tu huko Cyprus na bado haijawa wazi uhatari wa kirusi hiki ukilinganisha na virusi vya delta & omicron
Tumefikia booster ya ngapi?
Share zangu za Pfizer siuzi ng'o!
Kazi ipoo...Bado kuna kingine kitaitwa Deltaflucron =Delta + Flu + Omicron 😁