Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
Na hiyo ndoa yao inageuka kuwa ndoano kwetu sisi..😂Wameoana au?
Kiko weak tu kinawaua wao. Binadamu labda apigwe mabomu ya nuclear hivi hivi hatuishiCorona is Man made project... corona haitakaa iishe mpaka malengo ya wenye mradi ikamilike
Wamefanya colaboWameoana au?
Kwendeni zenu huko tushawachoka!Kirusi kipya cha korona kilichotokana na muunganiko wa virusi vya delta na omicron kimegunduliwa huko nchini Cyprus
Kirusi hicho kipya kilichopewa jina la Deltacron mpaka sasa kimegundulika kwa watu 25 tu huko Cyprus na bado haijawa wazi uhatari wa kirusi hiki ukilinganisha na virusi vya delta & omicron
hata NUCLEAR tutasurvive tu nenda uchek SERIEZ ya THE 100 utaelewaKiko weak tu kinawaua wao. Binadamu labda apigwe mabomu ya nuclear hivi hivi hatuishi